Kipengele
Mambo mbalimbali
- Sikuzote habari zote ni za kisasa na inajisasahisha yenyewe.
- Wahubiri wanapata taarifa na vikumbusho kupitia app ya simu ya kutuma ripoti, kukubali migawo, na zaidi.
- Hourglass inaweza kunakili habari za wahubiri kutoka KHS, NW Scheduler, au TSWIN.
- Pakua habari za kutaniko lako zikiwa PDF, CSV, au JSON
Panga
- Unaweza kutengeneza Kadi za Wahuburi wa Kutaniko S-21 katika PDF, kwa mhubiri mmoja au Kutaniko lote, na kuchapa katika upana wa 4x6 index card ikitakikana. Hizo zinaweza kupangwa moja kwa moja katika faili.
- Kipengele cha kuwezesha kinamruhusu mhubiri kutoa ripoti ya mhubiri mwingine (kama mzazi kutoa ripoti ya mtoto).
- Anwani za kila muhubiri zinaweza kutunzwa kwa dharura/majanga.
- Hourglass inafuatilia na kutunza habari za vikundi, ripoti zao nyingi, na kupanga kwa utaritibu hayo yote. Pia inakuwezesha kuingiza hudhurio la mikutano kila mwezi na kuunda fomu ya PDF ya S-88.
Ratiba
Language Groups
Maeneo
Ripoti
- Ripoti zinazokosekana za kila mhubiri
- Jumla ya mwezi iliyo tayari kutumwa ofisini
- Ripoti za utumishi wa kila mwezi
- Twakimu za wahubiri
- Wastani wa ripoti za utumishi
- Maendeleo ya painia wa kawaida
- S-10 Mchanganuo wa Kutaniko
- Jumla la Mwaka wa Utumishi